Watanzania Kufaidi Matunda ya Reli ya Kisasa Mwakani
*Waziri Mkuu alidhishwa na kasi ya ujenzi
*Asilimia 96 ya walioajiriwa ni Watanzania
MIUNDOMBINU ni muhimu katika maendeleo ya Taifa lolote ambalo linalohitaji kusonga mbele kiuchumi, kijamii kwa sababu husaidia Serikali katika kufanikisha malengo iliyojiwekea.
Miundombinu hiyo ambayo inalenga kuboresha na kuimarisha uchumi inajumuisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya uchukuzi na usafirishaji kama reli, barabara, viwanja vya ndege, bandari, ununuzi wa ndege na meli.
Kukosekana kwa miundomb...
Read More