[caption id="attachment_42884" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango (Sera), Bw. Adolf Ndunguru, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kujadili Taarifa ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s), katika ukumbi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dodoma.[/caption]
Na Josephine Majura na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma
Katika kutekeleza ajenda za Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s), Serikali imejipanga kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari (VNR) katika Jukwaa la Siasa la Umoja wa Mataifa (...
Read More