Na. Immaculate Makilika
Hadi kufikia Machi mwaka huu, Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi 432,285,137 sawa na asilimia 117.06 ikiwa imevuka lengo katika mwaka wa fedha 2018/2019.
Katika mwaka huo wa fedha, Taasisi hiyo ilikadiriwa kukusanya shilingi 371,000,000 kutoka vyanzo vyake vya tozo za ramani na machapisho ya jiosayansi, tozo za huduma ya maabara na ada za ushauri elekezi kwa mwaka wa fedha.
Hayo yalisemwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Madini Doto alipokuw...
Read More