[caption id="attachment_43757" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akijibu swali wakati wa kikao cha 40 cha Bunge leo jijini Dodoma.[/caption]
Na Shamimu Nyaki -WHUSM
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amevielekeza Vyama na Mashirikisho ya Michezo nchini kuwa na utaratibu wa kutoa elimu ya afya na kinga kwa wanamichezo ili kulinda afya za wanamichezo hao kabla, wakati na baada ya michezo.
Mhe. Shonza ameyasema hayo leo Bungeni Jijini...
Read More