[caption id="attachment_45732" align="aligncenter" width="750"] Meneja Kiongozi Uhusiano na Elimu kwa Umma wa mfuko huo, Bi Eunice Chiume akiongea na Waandishi wa Habari leo Jijini Dodoma.[/caption]
Na Mwandishi Wetu
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Umetumia Bilioni 122.9 kulipa kiinua mgongo wastaafu 2,650 kati ya June mosi hadi Julai 15, 2019.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dodoma, Meneja Kiongozi Uhusiano na Elimu kwa Umma wa mfuko huo, Bi Eunice Chiume amesema kuwa mfuko unaendelea kutekeleza jukumu la kuhak...
Read More