[caption id="attachment_46073" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abbasi, akifafanua Jambo kuhusu Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC, alipokuwa katika mahojiano ya kipindi cha 360 katika kituo cha Televisheni (Clouds TV) yaliyofanyika leo Agosti 14, 2019 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julias Nyerere Jijini Dar es Salaa, kulia ni Mtangazaji wa Kipindi hicho, Baby Kabaye.[/caption]
Na. Mwandishi Wetu-MAELEZO
Nch...
Read More