[caption id="attachment_50022" align="alignnone" width="750"] Kaimu Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Bi. Ruth Minja akizungumza wakati akitangaza mfumuko wa bei wa mwezi Desemba 2019.[/caption]
Na Mwandishi Wetu
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Desemba, 2019 umebaki kuwa asilimia 3.8 kama ilivyokuwa mwezi Novemba, 2019.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dodoma wakati akiwasilisha taarifa ya hali ya mfumuko wa bei, Kaimu mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Bi Ruth Minja amesema kuwa mfumuko...
Read More