Na Zuena Msuya, Morogoro
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewataka wakandarasi na wahandisi wanaotekeleza ujenzi wa Mradi Bwawa la kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Bonde la Mto Rufiji wa Julius Nyerere (JNHPP) kuhamia na kuishi katika eneo la mradi kuanzia Januari 13,2020, baada ujenzi wa nyumba za wafanyakazi kukamilika.
Aidha aliwataka wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) pamoja na wale Wahandisi washauri wa mradi (TECU) kuhamia katika eneo la mradi kuanzia mwezi ujao baada ya nyumba zao kukamilika...
Read More