Na Mwandishi Wetu
Kamishna Msaidizi wa Umeme Mhandisi Innocent Luoga, amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme ya msongo wa kilovoti 220 inayoanzia Bulyanhulu hadi Geita na kumtaka Mkandarasi kuanza kazi ya kusimika nguzo za chuma ifikapo Februari 2020.
Mhandisi Luoga alifanya ziara hiyo Januari 20, 2020 kukagua Mradi huo ambao unahusisha pia ujenzi wa vituo vya kupoza Umeme katika eneo la Bulyanhulu, Wilayani Kahama na katika Mkoa wa Geita, pamoja na kusambaza umeme katika vijiji 10 vinavyop...
Read More