[caption id="attachment_50500" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Shirika linalojishughulisha na Ufadhili wa Wanafunzi wa kike CAMFED, Bi.Lydia Wilbard akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari(hawapo pichani), kuhusu wanafunzi 9,877 wa kike watakaofadhiliwa masomo yao ya Sekondari mwaka huu 2020, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi CAMFED, Bi.Jeane Ndyetabura.[/caption]
Na.Mwandishi Wetu
Katika kuadhimisha siku ya Elimu Duniani inayoazimishwa kila mwaka tarehe 24 Januari, Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na kuwafadhili ...
Read More