[caption id="attachment_52504" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia) akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.[/caption]
Na Zuena Msuya Tanga.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametoa siku kumi kwa Mamlaka ya Udhibiti huduma za Nishati na Maji (EWURA) kumpatia majibu ya uwiano wa viwango vya bei ya mafuta katika maghala ya kupokea na kuhifadhia mafuta nchini.
Dkt. Kalemani alisema h...
Read More