[caption id="attachment_53062" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, akizungumza na wakazi wa Mkoa wa Mara wakati akifungua rasmi biashara ya mafuta katika kituo cha kuuza mafuta ya Dizeli na Petroli cha serikali(TANOIL) kitakachosimamiwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania( TPDC) kupitia Kampuni ya Mafuta ya TANOIL, Juni 06, 2020, wilayani Musoma mkoani Mara.[/caption]
*Kalemani afungua Kituo cha kwanza Mara, TPDC kujenga vituo 100*
Na Zuena Msuya, Mara
Waziri wa Nish...
Read More