[caption id="attachment_53198" align="aligncenter" width="750"] Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, akizungumza jambo kwa wajumbe wa kikao cha wakuu wa takwimu kwa nchi za SADC, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020.[/caption]
[caption id="attachment_53200" align="aligncenter" width="750"] Wajumbe wa Kikao cha Takwimu cha nchi za SADC kutoka Tanzania wakiongozwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa( wa kwanza kulia), wakiwa kati...
Read More