[caption id="attachment_53496" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi kuhusu masuala mbalimbali ya wafanyakazi walipokutana katika ukumbi wa Hazina ndogo, Mkoani Manyara.[/caption]
[caption id="attachment_53493" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Wilaya ya Manyara Mhe. Elizabeth Kitundu akieleza jambo wakati wa Mkutano huo.[/caption]
[caption id="attachment_53494"...
Read More