Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akikata utepe kuashiria kwa kuwashwa kwa umeme katika shule ya Sekondari Nyakahuru iliyopo katika kijiji cha Mabale, kata ya Nyakahura, Wilaya ya Biharamulo,Agosti 16,2020.
Hafsa Omar-Kagera
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amesema Serikali itaendelea kuzipa kipaumbele Taasisi za Umma nchini katika usambazaji wa umeme vijijini ili ziweze kutoa huduma bora kwa Watanzania.
Ameyasema hayo, Agosti 16, 2020 kwa nyakati tofauti wakati akiwa kwenye ziara ya kazi ya ukaguzi...
Read More