Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo, Mhe. Abdallah Ulega akizungumza katika hafla ya kutoa ufadhili wa masomo ya ufundi kwa Vijana 26 waliofanya vizuri kwenye mashindano ya Kombe la Taifa la Mpira wa Kikapu la Benki ya CRDB, yaliyofanyika November 2020 kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma, hafla hiyo imefanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam leo January 18,2021 ambapo CRDB imetoa zaidi ya Shilingi Milioni 250 kugharamia mashindano hayo na kati ya hizo, Shilingi Milioni 50 zinatumika kusomesha Vijana hao....
Read More