Wasanii wa muziki watakaotumbuiza katika Tamasha la Muziki la Serengeti jijini Dodoma tarehe 6 Feb, 2021 walikichapa na uongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Abdalla Ulega.
Na mwandishi wetu, Dodoma
Kama uko Dodoma, Iringa, Singida, Manyara, Morogoro au hata Dar maana Shabiby lipo hadi saa tisa alasiri kama hautafika Dodoma leo usinilaumu!!!!
Sasaaaa, sikiliza jana usiku wa kuamkia leo Jumamosi Februari 6, 2021, dunia ilisimama, burudani...
Read More