Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Yussuf Masauni akizungumza na Menejimenti ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) na kuwaagiza kuhakikisha wanafanya tafiti na kuja na vyanzo vipya vya mapato na kodi zisizo na usumbufu kwa wananchi, alipotembelea Chuo hicho kilicho chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho. Dkt. Momole Kasambala.
Na. Peter Haule, WFM, Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Yussuf Masauni, amekiagiza Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na Chuo cha...
Read More