Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 28,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Benki hiyo, Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 28,2021. Picha na Ikulu
Read More