Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba wakiwa pamoja na wafanyakazi wengine kwenye ziara ya Waziri huyo alipotembelea Ofisi na studio za TBC zilizopo jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Februari, 2022
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiwa amekaa mbele ya studio za utangazaji za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo jijini Da...
Read More