Na Lilian Lundo – MAELEZO
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, katika mwaka huu wa fedha, imetoa jumla ya shilingi bil. 9 ikiwa ni fedha za maendeleo kwa shirika la Nyumbu (Tanzania Automotive Technology Centre – TACT).
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika na TACT na Kikosi cha Nyumbu Project, Brig. Gen. Hashim Komba alisema hayo katika hotuba yake kwa Waandishi wa Habari waliotembelea shirika hilo, leo Machi 7, 2022 Kibaha mkoani Pwani.
“Tunamshuru Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo kwa mwaka huu wa fedha, fedha zo...
Read More