Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akikata tiketi ya ndege kama ishara ya kuzindua ukataji wa tiketi katika ofisi za Shirika la Posta Tanzania (TPC), mara baada ya utiaji saini wa mkataba wa kibiashara kati ya Shirika hilo na Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) katika ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika hilo, jijini Dar es Salaam.
Prisca Ulomi, WHMTH, DSM
Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) zimesaini mkataba wa kibiashara leo wa kuziwezesha taasisi hizo za umma kusogeza hudum...
Read More