Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akimuapisha Mhe. Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo, Bungeni jiji...
Read More