Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akizungumza leo jijini Dodoma wakati akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo.
Na Mawazo Kibamba, MAELEZO
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesema hadi kufikia tarehe Aprili 30, 2022 jumla ya anwani za makazi 12,171,320 zimekusanywa na kuingizwa kwenye Programu tumizi ikiwa ni sawa na asilimia 104.3 ya lengo la jumla ya Anwani 11,676,891 zilizopangwa kukusanywa katika Mikoa yote nchini.
Ameyasema...
Read More