Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) imetoa mafunzo ya ujuzi tepe ‘Soft Skills’ kwa makundi maalum ya vijana katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga yenye lengo la kujitambua na kujithamini.
Akizungumza wakati wa mafunzo hayo ya siku tatu yanayofanyika kuanzia leo Jumanne Juni 28,2022 hadi Juni 30,2022 katika ukumbi wa Liga Hotel Mjini Shinyanga, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Bw. Julius Tweneshe amezitaja miongoni mwa mada zita...
Read More