Mhandisi Mkazi kutoka Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Jacob Mambo akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete, kuhusu ujenzi wa barabara ya Kwala hadi Ruvu (km 15.5), ambayo ni sehemu ya mradi wa Ujenzi wa Bandari Kavu ya Kwala.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete, ametoa wiki moja kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kukamilisha taratibu za ndani na kumlipa Mkandarasi wa Kampuni Estim Construction anayejenga barabara ya kiwango cha zege (km 15), kutoka Kwala hadi Vigwaza ili ikamilike kwa w...
Read More