Na Shamimu Nyaki - WUSM, DODOMA
Watumishi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wamehimizwa kufanya kazi kwa bidii na kulinda amani, utamaduni wa mtanzania na kudumisha uzalendo kwa kutoa huduma bora kwa wananchi.
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utawala na Rasilimali Watu, Bibi. Zahra Guga, katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 23, 2022 Jijini Dodoma.
"Tufanye kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma, Wizara yetu ni miongoni mwa wizara ambazo Sekta zake zinachangia kw...
Read More