Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akibonyeza kitufe kuashiria upatikanaji wa huduma za usafiri wa dharura ya M-mama kwa wajawazito na watoto katika vituo vyote vya kutoa huduma ya afya msingi katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Kulia kwake ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anaeshughulikia Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, Mhe. Festo Dugange na wa kwanza kulia Naibu Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Godwin Mollel.
Read More