Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua kitambaa wakati alipozindua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambalo limekamilika kwa asilimia 100. Julai 17, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambalo limekamilika kwa asilimia 100. Julai 17, 2022.
Mwonekano wa jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambalo limekamilika kwa asilimia 100. Julai 17, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mene...
Read More