Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akiangalia sehemu ya mashamba ya Steyn yaliyopo wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa ziara yake ya siku mbili mkoani humo tarehe 4 Julai 2022.
Na Munir Shemweta, WANMM MONDULI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula amezuia mkataba wa upangishaji ardhi wa mashamba matatu maarufu kama mashamba ya Steyn yaliyopo wilayani Monduli mkoani Arusha ulioingiwa kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli na kampuni ya EBN Hunting Safaris.
Uamuzi h...
Read More