Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa jana Oktoba 6, 2022 akishuhudia mashindano ya ligi ya UEFA EUROPA kwa mualiko maalum kutoka kwa Rais wa Klabu ya Fenerbahce Ali Koc.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa jana Oktoba 6, 2022 amehudhuria mashindano ya ligi ya UEFA EUROPA kwa mualiko maalum kutoka kwa Rais wa Klabu ya Fenerbahce Ali Koc.
Waziri Mchengerwa alipata wasaa wa kushuhudia mechi kati ya Fenerbahce na AEK Larnaca, mechi iliyochezwa katika uwanja wa klabu hiyo nchini Uturuki....
Read More