Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipokabidhi magari 30 na vifaa vya Ofisi za Mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mtumba Dodoma, Agosti 07, 2023.
Read More