Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipokelewa na viongozi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa viongozi wa hifadhi hiyo wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa mhifadhi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akisikiliza maoni kutoka kwa viongozi wa hifadhi ya Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017