<
| Bwa. Mbundi akiendelea kuelezea mada yake. |
| Bw. Othman Bakar Shehe akiuliza swali mara baada ya Bw. Mbundi (hayupo pichani) kumaliza kuwasilisha mada yake. |
| Bw. Mbundi akijibu swali lililoulizwa na Bw. Shehe (hayupo pichani). |
| Sehemu ya wajumbe na wajasiriamali wakisikiliza kwa makini majibu yaliyokuwa yakitolewa na Bw. Mbundi. |