Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Picha za Matukio ya Ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni.
Sep 15, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_13817" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.[/caption]

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde akisalimiana na baadhi ya walimu wa Shule ya Sekondari ya Jamhuri walipotembelea Bungeni Septemba, 2017 Mjini Dodoma.

[caption id="attachment_13819" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya walimu wa Shule ya Sekondari ya Jamhuri waliotembelea Bungeni Septemba, 2017 Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_13822" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jamhuri waliotembelea Bungeni tarehe 13 Septemba, 2017 Mjini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi