[caption id="attachment_12304" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma[/caption] [caption id="attachment_12307" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Buge Job Ndugai akizungumza baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma[/caption] [caption id="attachment_12310" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wabunge walioshiriki katika hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuichunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma[/caption] [caption id="attachment_12313" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. Katikati ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe.[/caption] [caption id="attachment_12316" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wabunge walioshiriki katika hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuichunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma[/caption] [caption id="attachment_12319" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Spika wa Buge, Job Ndugai baada ya kukabidhiwa na Spika Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuichunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma[/caption]