[caption id="attachment_39884" align="aligncenter" width="800"] Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad (kulia) akisindikizwa na Msaidizi wa Mpambe wa Bunge, Ndg. Leonard Bushiri kuelekea kwenye kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuitikia wito wa tuhuma zinazomkabili za kulidhalilisha Bunge, tukio lililotokea leo tarehe 21 Januari, 2019 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_39885" align="aligncenter" width="800"] Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad
akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye kamati ya Bunge ya
Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuitikia wito wa tuhuma zinazomkabili za
kulidhalilisha Bunge, tukio lililofanyika leo tarehe 21 Januari, 2019
katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_39886" align="aligncenter" width="800"] Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad
akiwa mbele ya kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
akiitikia wito wa hutuma zinazomkabili za kulilidhalilisha Bunge, tukio
lililofanyika leo tarehe 21 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini
Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_39888" align="aligncenter" width="800"] Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad
akitoa nyaraka zake mbele ya kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka
ya Bunge wakati akiitikia wito wa tuhuma zinazomkabili za kulilidhalilisha
Bunge, tukio lililotokea leo tarehe 21 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge
Jijini Dodoma.[/caption]