Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Ukaguzi wa Mazingira kwa Miradi ya Ujenzi wa Majengo baina ya NEMC na Kituo cha Sayansi na Mazingira, Nchini India (CSE). Hafla hiyo ilifanyika leo Jumatano (Oktoba 18, 2023) katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma.
Read More