Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa akikaribishwa kwa mara ya kwanza leo Septemba 29, 2023 katika ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtumba, jijini Dodoma. Ukaribisho huo umeongozwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhe. Saidi Yakubu.
Read More