Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nambilanje wilayani Ruangwa akiwa katika ziara wilayani humo, Novemba 18, 2022.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasalimia katika Kijiji cha Nambilanje wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa pole kwa Mzee Abdallah Mussa Mkwindinga ambaye watoto wake wawili walipoteza maisha katika tukio lililohusisha wakulima na wafugaji katika kijiji cha Nambilanje wilayani Ruangwa, alikuwa katika ziara wilayani hu...
Read More