Na Mbaraka Kambona,
Wakala ya Maabara ya Mifugo Tanzania (TVLA) imewezeshwa vifaa vya kisasa katika maabara zake ambapo sasa wamekuwa na uwezo wa kutambua kwa haraka vimelea vya magonjwa ya mifugo ndani ya dakika 15 tofauti na hapo awali ambapo ilikuwa inawachukua kati ya masaa 24 hadi 36.
Hayo yamefahamika leo Novemba 21, 2022, jijini Dar es Salaam wakati Mwakilishi kutoka Taasisi ya American Society for Microbiology, Dkt. Wes Kim akimkabidhi Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Hezron Nonga nyaraka za vi...
Read More