Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Ndg. Veron Mosengo-Omba mara baada ya kufanya mazungumzo katika Makao Makuu ya Shirikisho hilo Cairo Misri Septemba 25, 2023.
Na
Administrator
Mazungumzo yao yamehudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia na Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa, Bi. Neema Msitha na viongozi wengine wa TFF.