Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwasilisha Bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023, Bungeni jijini Dodoma. Juni 14, 2022.
Na Lilian Lundo - MAELEZO
Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imependekeza viongozi wanao tenguliwa kwenye nafasi za kuteuliwa kulipwa mishahara yao ya zamani.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa pendekezo hilo leo, Juni 14, 2022 Bungeni Jijini Dodoma alipokuwa akiwasilisha mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio...
Read More