Rais Samia Ahudhuria Kwenye Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Oman
Jun 13, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Oman lililofanyika katika eneo la Kasri ya Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni,2022Wafanyabiashara kutoka Tanzania na Oman pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa katika Kongamano la Biashara lililofanyika katika eneo la Kasri ya Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.