Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Azungumza na Kiongozi Mkuu wa Oman, Atembelea Kituo cha Saratani
Jun 13, 2022
Na Jacquiline Mrisho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Taifa la Oman, Sultan Haitham bin Tariq Al Said mara baada kuwasili Al Alam Muscat kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyika tarehe 13 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Oman, Sultan Haitham bin Tariq Al Said kwenye Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Kiongozi Mkuu wa Taifa la Oman, Sultan Haitham bin Tariq Al Said mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Al Alam Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman wakati alipotembelea Kituo hicho tarehe 13 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo wakati alipotembelea Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman tarehe 13 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati alipotembelea Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman tarehe 13 Juni, 2022.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi