[caption id="attachment_52238" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa THBUB, Jaji (Mst.) Mathew Mwaimu (katikati) akiongea wakati alipomtembelea Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kulia) ofisi kwake jijini Mwanza Aprili 20, 2020. Kushoto ni Kaimu Katibu Mtendaji wa THBUB, Hajjat Fatma Muya.[/caption]
Na Mbaraka Kambona
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella ameishauri Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kuandaa mpango maalum wa kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa watendaji wa ngazi za mi...
Read More