[caption id="attachment_48013" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Jamii (NSSF), Bw.William Erio akimsikiliza mteja wa Shirika hilo aliyefika katika Ofisi za Makao Makuu Jijini Dar es Salaam, kupata huduma katika Wiki ya Huduma kwa wateja Duniani[/caption]
Na.Mwandishi Wetu-MAELEZO
Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF) limewataka wateja wake kuwa wazo kwa hisia zao, ili maswali, maoni na hoja zao mbalimbali zijibiwe na Shirika kwa lengo la kuimarisha huduma zitolewazo na Shirika hilo, ambapo ‘Wiki y...
Read More