Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

RC Singida Dkt.Rehema Nchimbi Akagua Mabanda Maadhimsho Siku ya Chakula Duniani
Oct 11, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48007" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza na Mkuu wa Kitengocha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Kilimo, Bw. Revocatus Kassimba alipotembelea baadha mabanda ya Maonesho ya kuadhimisha Siku ya Chakula duniani ambayo kitaifa yanafanyikia katika viwanja vya Bombadier mkoani Singida.Kulia ni Afisa Maendeleo wa Jamii Mkoa wa Singida, Bw. Patrick Kasango Kauli mbiuya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48008" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Kilimo na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida alipotembelea baadha mabanda maonesho ya bidhaa za chakula na lishe ambayo yameanza leo mjini Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida katika viwanja vya Bombadier. Kulia ni Afisa Maendeleo wa Jamii Mkoa wa Singida, Bw. Patrick Kasango Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48002" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akielezea jambo kwa washiriki wa maonesho ya bidhaa za chakula na lishe ambayo yameanza leo mjini Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo kitaifa inafanyika katika viwanja vya Bombadier mkoani hapa. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48003" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akipokea kopo lenye majani ya chai kutoka kwa mmoja wa washiriki wa maonesho ya bidhaa za chakula na lishe ambayo yameanza leo mjini Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo kitaifa inafanyika katika viwanja vya Bombadier mkoani hapa. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48004" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa washiriki wa maonesho ya bidhaa za chakula na lishe ambayo yameanza leo mjini Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo kitaifa inafanyika katika viwanja vya Bombadier mkoani hapa. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48005" align="aligncenter" width="1000"] Bando la Wizara ya Kilimo lilobeda kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula duniani kama linavyooneka katika viwanja vya Bombadier mjini Singida. Maadhimisho hayo kitaifa yanafanyika mkoani humo yakiambatana na maonesho ya bidhaa za chakula na lishe. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi