[caption id="attachment_48250" align="aligncenter" width="615"] Dkt. Leonard Akwilapo, Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia[/caption]
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kuanza kwa mashindano ya kitaifa ya Michezo na Sanaa kwa Vyuo vya Ualimu Tanzania Bara (UMISAVUTA).
Mashindano haya yatafanyika kuanzia tarehe 25 hadi 31 Oktoba, 2019 Mkoani Mtwara na yatashirikisha washiriki zaidi ya 5,600 kutoka katika vyuo vya ualimu vyote 35 vya serikali. Ufunguzi wa mashindano hayo unatarajiwa kuf...
Read More