[caption id="attachment_48257" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REB), Mhandisi Styden Rwebangila (kushoto), akikagua moja ya transfoma katika ghala la Mkandarasi Derm Electrics (T) Ltd, anayetekeleza mradi wa umeme vijijini mkoani Tanga. Wa pili kutoka kulia ni Mjumbe wa Bodi hiyo, Louis Accaro na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka REA, Mhandisi Jones Olotu. Timu hiyo ilikuwa ziarani mkoani Tanga, Oktoba 22, 2019.[/caption]
Na: Veronica Simba – Tanga
Serik...
Read More